The Soda Pop


1








A microcredit with a difference

WASILIANA NASI


Garden Road,
Mikocheni, Dar es Salaam

+255 222 701846

info@kopafasta.co.tz
UTANGULIZI
Kopa Fasta ni kampuni ya utoaji mikopo inayolenga kusaidia wafanyabiashara wadogo na wakubwa pia inatoa mikopo kwa waajiriwa wa serikali na kampuni binafsi.

Tunatoa mkopo wa dharura kiasi cha Tsh. 1,000,000 (Million moja) kwa mtu yoyote mwenye kuhitaji mkopo.

Mkopo huu wa dharura tunatoa kwa njia ya Online (mtandaoni)
kupitia hii tovuti yetu ya kampuni.

KIWANGO CHA MKOPO
Kupitia tovuti hii unaweza kuomba mkopo wa Tsh. 1,000,000 (Million moja) kiasi cha mkopo tunachokopesha ni Million moja tu, hatutoi mkopo chini ya million moja pia hatukopeshi zaidi ya million moja, kiwango unachoweza kuomba na kukopeshwa ni Tsh. 1,000,000 (Million moja) pekee

huu ni mkopo wa dharura hivyo kiwango cha mkopo hakiwezi kuzidi Tsh. 1,000,000 (Million moja) au kupungua Tsh. 1,000,000 (Million moja).
Iwapo utahitaji mkopo mkubwa zaidi
unatakiwa ufike katika ofisi zetu zilizopo Mikocheni B Barabara ya Rose Garden au fika katika tawi letu lingine lililopo mikocheni kwa warioba jirani na ghorofa za Palm Village, uweze kupata utaratibu zaidi wa kuweza kupata mkopo mkubwa. Kupitia mtandao huu unaweza kuomba mkopo wa Tsh. 1,000,000 (Million moja) tu na ukapatiwa mkopo ndani ya dakika 10.
MAREJESHO NA RIBA
Kama ilivyoelezwa hapo juu, tunakopesha Tsh. 1,000,000 (Million moja) tu! hivyo kiasi cha mkopo wa Tsh. 1,000,000 (Million moja) riba yake ni Asilimia 10 hivyo ukichukua mkopo huu wa Tsh. 1,000,000 (Million moja) utatakiwa kurejesha Tsh. Tsh. 1,000,000 (Million moja) pamoja na riba ya asilimia kumi ambayo ni Tsh. 100,000 (Laki moja)

hivyo utatakiwa kurejesha Tsh. 1,100,000 (Million moja na laki moja) utarejesha mkopo uliochukua Million moja na riba yake ni laki moja

Utatakiwa kurejesha kila mwisho wa mwezi Tsh. 55,000 (elfu hamsini na tano) kwa muda wa miezi ishirini (20) sawa na mwaka mmoja na miezi 8 hivyo ndani ya mwaka mmoja na miezi 8 unatakiwa uwe umemaliza kufanya marejesho. tunakupa miezi 20 uwe umemaliza kulipa deni lote la mkopo wa Tsh. 1,000,000 (Million moja) pamoja na riba ya Tsh. 100,000. Kwa kila mwezi utatoa elfu 55 ambayo elfu50 itakua ni rejesho la mkopo wa million moja na elfu 5 itakua ni riba ya mkopo kila mwezi, ndani ya miezi 20 utakua umemaliza kurejesha jumla ya Tsh 1,100,000 (Million moja na laki moja) rejesho lote la mkopo
UTARATIBU WA KUPATA MKOPO
Ili uweze kupata mkopo huu wa dharura wa Tsh. 1,000,000 (Million moja) kwanza unatakiwa kujaza fomu ya maombi ya mkopo. Fomu inapatikana katika huu mtandao kuna Link ipo chini imeandikwa JAZA FOMU HAPA bonyeza hiyo link utaipata fomu kisha utaijaza fomu yote na utaituma fomu hiyo kwetu

Ukishajaza fomu kuna malipo ya kampuni utatakiwa kulipia Tsh. 22,000 (elfu ishilini na mbili) haya ni malipo ya kampuni utatakiwa kulipia baada ya kujaza fomu yako, ni lazima ulipie Tsh. 22,000 malipo ya kampuni ndipo uweze kupata mkopo wa Tsh. 1,000,000.

utajaza fomu kisha utalipia Tsh. 22,000 malipo ya kampuni ndipo upatiwe mkopo, huu ndio utaratibu wetu.
KWANINI UNALIPIA PESA YA KAMPUNI TSH. 22,000
ukiwa kama mkopaji unae hitaji mkopo unaweza kujiuliza kwanini ulipie pesa ya kampuni ikiwa wewe unahitaji mkopo?

kwa kawaida taasisi zote za kifedha zinakua na utaratibu wa uwekaji akiba au dhamana hii inahusisha security ya mkopo na upatikanaji wa fedha za kukopesha



utaratibu wetu sisi Kopa Fasta ni sharti la lazima kwa kila anaetaka mkopo akishajaza fomu anatakiwa kulipia Elfu 22,000 malipo ya kampuni ya Kopa Fasta ikiwa ni kama sehemu ya dhamana pia ni faida ya kampuni kulingana na pesa tunayo kukopesha itadumu kwako kwa muda wa miezi mitatu ndipo uanze kurejesha, iwapo kampuni itakua inatoa tu pesa kwa kila mkopaji na kusubiri pesa zirudishwe ndani ya miezi mitatu hakutakuwa na mzunguko mzuri wa pesa na itasababisha kukosekana kwa pesa ndani ya kampuni hivyo watu wengine watakao kuwa wanahitaji mkopo watashindwa kupata mikopo kwakua kampuni haitokuwa na pesa wakati pesa zikiwa zimekopeshwa kwa watu wengine hivyo inalazimika kila anaetaka kuchukua mkopo anatakiwa alipie Tsh. 22,000 malipo ya kampuni ili kampuni iweze kuwa na mzunguko wa fedha kwa kila mkopaji kuchangia Tsh. 22,000 ili pesa iweze kupatikana na watu wengine nao waweze kupata mikopo hivyo pesa utakayolipia elfu 22,000 itaingizwa katika mfuko wa kampuni ya Kopa Fasta ili kuwepo na mzunguko wa pesa kwakua kampuni inajiendesha yenyewe na inakopesha kupitia uwekezaji wako wewe mkopaji hivyo ni lazima ulipie Elfu ishilini na mbili (22,000) ndipo uweze kupata mkopo.